Wataalam na Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA, wakizungumza na wanafunzi wa Shule Mbalimbali za Sekondari katika Mkoa wa Manyara na Mkoa wa Singida.
Lengo ni kuwafanya wanafunzi kupenda na kuchagua masomo ya Sayansi hususani wanafunzi Wasichana kupitia Programu ya STEMI unaofadhiliwa na Mradi wa HEET.
Wahadhiri hao ni Dr Edwin Ngowi Dr Engineer Susan A Mbacho, Dr Kajenje Magessa Nkukurah na Ms Jenipher C. Tairo.
Picha hapo chini inawaonesha wakiwa Mbulu, kwa lengo la kutembelea shule za sekondari zilizopo.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

Picha hapo chini inawaonesha wakiwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, kwa lengo la kutembelea shule za sekondari zilizopo.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.
Mwanafunzi akizungumza alichokielewa kutoka kwa Wahadhiri na Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.
Wahadhiri na Wataalamu Kutoka SUA wakizungumza na Wanafunzi.