Wataalam na Wahadhiri kutoka SUA, wakizungumza na wanafunzi wa Shule Mbalimbali za Sekondari.

Wataalam na Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA,  wakizungumza na wanafunzi wa Shule Mbalimbali za Sekondari katika Mkoa wa Manyara na Mkoa wa Singida.

.

Lengo ni kuwafanya wanafunzi kupenda na kuchagua masomo ya Sayansi hususani wanafunzi Wasichana kupitia Programu ya STEMI unaofadhiliwa na Mradi wa HEET.

.

Wahadhiri hao ni Dr Edwin Ngowi  Dr Engineer Susan A Mbacho, Dr Kajenje Magessa Nkukurah na Ms Jenipher C. Tairo.

Picha hapo chini inawaonesha wakiwa Mbulu, kwa lengo la kutembelea shule za sekondari zilizopo.

Wahadhiri na Wataalam kutoka SUA Wakiwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

Picha hapo chini inawaonesha wakiwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, kwa lengo la kutembelea shule za sekondari zilizopo.

Wataalamu na Wahadhiri Kutoka SUA Wakiwa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang kwa Lengo la kutembelea shule za sekondari zilizopo.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wahadhiri kutoka katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.

.

Mwanafunzi akizungumza alichokielewa kutoka kwa Wahadhiri na Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.

.

Wahadhairi na Wataalamu kutoka SUA wakiwa Mbulu kwa Lengo la kutembelea shule za Sekondari zilizopo.

Wahadhiri na Wataalamu Kutoka SUA wakizungumza na Wanafunzi.

.

Share this page