Watumishi 28 wenye umri wa kuanzia miaka 55 kutoka Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) ambao wanakaribia kustaafu wametembelea Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa lengo la kupata elimu na kujifunza kwa vitendo shughuli mbalimbali za Kilimo na Ufugaji zinazofanywa na SUA ikiwa ni mojawapo ya maandalizi ya kazi watakazofanya baada ya kustaafu
