Ushirikiano wa SUA na Chuo Kikuu cha Artemisa cha Cuba.

Ushirikiano wa SUA na Chuo Kikuu cha Artemisa cha Cuba utainua taaluma, ujuzi na kunufaisha wananchi - Dkt Bermundez.

SUA

Ushirikiano wa SUA na Chuo Kikuu cha Artemisa cha Cuba.

Imeelezwa kuwa ushirikiano ulioanzishwa kati ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Chuo Kikuu cha Artemisa cha Jamhuri ya Cuba utakuwa na manufaa makubwa baina ya vyuo vikuu hivyo kwani utainua taaluma, ujuzi na kunufaisha wananchi wa pande zote mbili yaani Tanzania na Cuba.

Kwa maelezo zaidi ingia hapa https://suamedia1994.blogspot.com/2024/01/ushirikiano-wa-sua-na-chuo-kikuu-cha.html

Share this page