Hivi karibuni, Shirika la Utangazaji Tanzania TBC wamefanya kipindi maalum kinachoangazia shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)
Katika makala hii utamsikia Professor Maulid Mwatawala pamoja na Dr Ramadhani Majubwa wakielezea shughuli mbalimbali zinazofanyika SUA hususan utafiti wa mbegu bora za Kilimo
