Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kimepokea tuzo kwa kushika afasi ya kwanza katika uandaaji na uwasilishaji wa taarifa bora ya mahesabu kwa viwango vya Kimataifa kwa Hesabu za Mwaka wa Fedha 2021/22 kwa upande wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini zilizoshindanishwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi Nchini (NBAA)
